REDD'S MISS TABATA 2012 NI NOELA MICHAEL

 Mshindi wa Kinyang'anyiro cha Redd's Miss Tabata 2012,Noela Michael (katikati) akiwa pamoja na mshindi wa pili,Diana Simon (kushoto) na wa tatu,Wilhemina Mvungi (kulia) muda mfupu baada ya kumalizika kwa kinyang'iro hicho,usiku huu kwenye Ukumbi wa Da' West Park,Tabata jijini Dar.
 Mshindi wa Kinyang'anyiro cha Redd's Miss Tabata 2012,Noela Michael (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wengine wa tano baada ya kumalizika kwa kinyang'iro hicho,usiku huu kwenye Ukumbi wa Da' West Park,Tabata jijini Dar.
 Tano Bora.
 Kumi Bora.
 Washiriki Wote wakipita kwenye steji.
 Vali la Ubunifu.
 Vazi la Ufukweni.
 Burudani kutoka kwa Warembo hao.
 Mashujmaa wakifanya shoo laki ndani ya kuwaombea kupin nikidogen
 Muimmbaji kiongozi wa Bendi ya Muziki wa Taarab ya Mashauzi Classic,Eshe Mashauzi akifanya vitu vyake.
 Majaji wakiweka mambo sawa. 
 Miss Tanzania 2011/12,Salha Israel akiwa pamoja na Jeniffer Kalokola mshindi wa tano wa Miss Tanzania 2011/12.
 Wakuu wa simm tanzania
Majaji wakijiandaa kumtangaza Redd's 2102 usiku huu.
Watu Kibao walifurika kwenye onyesho hili la urembo ndani ya Ukumbi wa Da' West Park,Tabata jijini Dar es Salaam usiku wa leo.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA