VOTE VOTE VOTE FOR ME...SAUT PEOPLE

Napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa wale wote mlioweza kunipigia kura katika shindano la  EXCEL WITH GRAND MALT na kuweza kuwa miongoni mwa 10 bora katika category ya Innovation.


Baada ya majina kutoka sasa ni kutafuta wale 3 bora kutoka katika  kila category mbalimbali kama SPORTS, INNOVATION,ENVIRONMENT & SOCIAL RESPONSIBILITY AND CULTURE AND ENTERTAINMENT kama nilivyowaeleza hapo awali nipo katika category ya INNOVATION hivyo ni wakati muafaka sasa kwa wale wana SAUT kuanzia kesho Ijumaa pale karibu na Bugger Point kwenye banda la Grand Malt kutakuwa na Fomu za kujaza kwa ajili ya kuwachaguwa washindi wako hivyo nawaomba sana muweze kunipigia kura ili niweze kuibuka kidedea katika category hiyo. kwa wale watakaopenda kupigia online kwa upande wa chuo chetu bado majina hayajawekwa lakini unaweza kutembelea mara kwa mara katika tovuti ya Grand Malt na kama wakishaingiza majina basi ni wakati muafaka pia wa kuvote online.

www.excelwithgrandmalt.com

JINA...NYANJA POTI
CATEGORY: INNOVATION

         Mungu awabariki sana ndugu zangu.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA