SOGGY DOGGY, BW. MISOSI & D KNOB KUFANYA HIP HOP TOUR KANDA YA ZIWA


Soggy Doggy
Mambo vipi wadau?Salama?Ni hivi,mwezi ujao wote Soggy Doggy, Bwana Misosi na D.Knob tunafanya Hip-hop tour Kanda ya ziwa,Ruvuma na Arusha lengo kubwa likiwa ni kutoa burudani kwa mashabiki wetu ambao huwa wanatuona mara chache sana kwani tunabanwa na majukumu mengine,katika ziara hizi tunaambatana na madansa wetu na tumedhaminiwa na PRO-24

Bwana Misosi

D Knob

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA