WANAFUNZI WA DAR ES SALAAM, INDEPENDENT SCHOOL 2012 WAONYESHA VIPAJI VYAO

Michael Kapinga akihojiwa na More Rack (kulia) baada ya kuonyesha
kipaji cha hali ya juu cha kuimba,wakati wa hafla ya kujipongeza kwa
kumaliza elimu ya kidaoto cha Nne na Sita iliyoandaliwa na Kampuni ya
Elements Events iliyofanyika katika Ukumbi wa Litre Theatle Dar es
Salaam.
Michael Kapinga  akionyesha umahiri wa kuonyeshakipaji cha  kuimba
wimbo wa I tried ulioimbwa na Akon na Bone Thugz, wakati wa hafla ya
kujipongeza kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Dar es Salaam
Independent iliyo jijini Dar es Salaam,kwa kuhitimu kidato cha Nne na
cha Sita ,Hafla hiyo iliandaliwa na Saida Kapinga wa Elements Events.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Dar es Salaam Independent iliyo
jijini Dar es Salaam,Owen Karonga na Carine Maro ambao waliibuka
washindi kwaa kuwanadhifu katika hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu
ya kidaoto cha Nne na cha sita iliyofanyika katika Ukumbi wa Litre
Theatle Oysterbay ,Kulia ni Mkurugenzi wa Elements Events Saida Kapinga
ambaye ndiyealiyeandaa hafla hiyo.kushoto ni Mwalimu wa Wanafunzi hao.
 
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Dar es Salaam
Independent ya jijini Dar es Salaam, wakionyesha vipaji vyao vya
kusakata muziki wakati wa hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu ya
kidato cha Nne na Sita iliyoandaliwa na Kampuni ya Elements Events
katika Ukumbi wa Litre Theatle.
Wanafunzi wa Shule ya sekondari ya Dar es Salaam Independent ya
jijini Dar es Salaam,carine Maro ambaye aliibuka Mshindi wa kuvaa
vizuri kwa upande wa wasichana na Owen Maronga ambaye pia aliibuka
mshindi kwa upande wa wanaume wakionyesha vipaji vyao vya kusakata
muziki wakati wa hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu ya Kidato cha
Nne na Cha sita hafla hiyomiliandaliwa na Elements Events ya jijini Dar
es Salaam.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA