AZAM FC KUMPOKEA BEKI MPYA PASCHAL WAWA KUTOKA IVORY COST

Baada ya kiungo Amri Kiemba kusajiliwa na kuanza mazoezi na timu ya Azam Fc. Timu hiyo inatarajia kumpokea beki aliyesajiliwa hivi karibuni, Pascal Wawa majira ya saa 3 asubuhi akitokea kwao nchini Ivory Coast na atajiunga mara moja na kikosi cha timu hiyo kwa ajili ya maandalizi ya mechi za ligi kuu msimu huu pamoja na mechi za kimataifa.
CHANZO:AZAM FC
Comments
Post a Comment