BREAKING NEWS: AISHA MADINDA AFARIKI DUNIA MCHANA HUU

Kuna habari zimesambaa kwa haraka zaidi kupitia mitandao ya kijamii kwamba aliyekuwa mnenguaji katika bendi ya Twanga pepeta miaka ya nyuma amefariki dunia mchana huu katika hospitali ya Mwananyamala.

Habari zaidi juu ya nini hasa kimesababisha kifo chake zitakuijia punde.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA