KOCHA PATRICK PHIRI KIBARUA CHA KUINOA SIMBA CHAFIKIA KIKOMO

Ni kama episode sasa iliyokuwa ikisubiliwa kwa hamu, mara baada ya Yanga kumtimua kocha wake Maximo baada ya mechi ya mtani Jembe sasa ni kwa upande wa Simba Sports club nao wanachukua headline nyingine ya kumfukuza aliyekuwa kocha wake mkuu kutoka Zambia Patrick Phiri na bechi lake lote la ufundi wametimliwa.

Leo atapewa barua na haki zake za msingi zitafuatwa kabla ya kuondoka,nafasi yake itachukuliwa na kocha MSERBIA GORAN ambaye alishawahi kuifundisha POLICE ya RWANDA ndiye rasmi kocha wa Simba na atasain mkataba siku ya j5 jioni.
Mserbia huyo atasaidiwa na kocha kutoka Rwanda anaitwa JEAN MARIE NTAGAWABILA.
Hiyo ndiyo habari ya mtaa wa msimbazi

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA