FLORA MBASHA AKIMBILIA MAHAKAMANI KUOMBA TALAKA.

Msanii wa nyimbo za injili Flora Mbasha amekimbilia mahakamani kuomba ndoa yake ivunje kati yake na mumewe Emmanuel Mbasha.

Sababu kubwa ya kuomba ndoa hiyo kutenganishwa ni baada ya Flora kupigwa mara kwa mara, kunyanyaswa na bila kupatia matibabu.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA