Picha za Diamond aliponogesha sherehe ya Uhuru nchini Marekani


Prezida wa Wasafi, Diamond Platnumz akiwa pamoja na wacheza show wake Roma Tonsa na Moses Iyobo wakitoa burudani katika kunogesha sherehe ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara iliyofanyika Sheraton Hotel ya Silver Spring, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na mashabiki wake kutoka kila pembe ya Marekani huku mashabiki wengine wakitokea Tanzania. (Picha zote: Vijimabo Blog)

Mzuka unazidi kupanda Diamond Platnumz asaula koti lake.

Balozi akimshukuru Diamond kwa kuwezesha kunogesha usiku wa Uhuru wa Tanzania na 
pia
 aliwashukuru wadhamini wa sherehe hiyo ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara.

Diamond akizidi kuwapa burudani mashabiki wake

Shabiki akicheza wimbo wa mdogo mdogo

Shabiki akijumuika na Diamond kwenye jukwaa.






















































































Picha zote tumeshirikishwa wavuti.com na Luke Joe/VIJIMAMBO blog (Shukurani)

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA