TANZIA: DAINES MBAWALA AFARIKI DUNIA

Daines Mbawala amefariki dunia jana Jumapili huko kwao Kigamboni. Mazishi yanatarajiwa kufanyika siku ya Jumanne, December 23 katika makabuli ya Vijibweni-Kigamboni nje ya jiji la Dar Es salaam kwanzia saa 5:00.

Jana kikao cha wana PR waliofika nyumbani kwao marehem wamewachagua watu wawili Nyanja Poti namba 0715 019393 (tigopesa) na Betty CR 0764 892525 (mpesa) kwa ajili ya kukusanya michango ya rambirambi.Ukituma rambi rambi yako basi wapatie taarifa.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA