FABOLOUS KUJA KIVINGINE NA MAMBO MATATU MAPYA IKIWEMO KAZI ZAKE KUANZA KUSIMAMIWA NA JAY Z
Baada ya miaka mitano bila album sokomi Rapper Fabolous kutoka Brooklyn yuko tayari kurudi na album mpya aliyoipa jina The Young OG Project itakayotoka siku ya Christmas.
Album itaweza kununuliwa kupitia iTunes kuanzia December 25.
Awali album ilipewa jina Loso’s Way 2, ikiwa ni muendelezo wa album ya Loso’s Way. Fabolous pia ndio msanii mpya kujiunga na timu ya Roc Nation na kuwa balozi wa kampeni ya Rocawear BLAK Fall/Winter.

Comments
Post a Comment