TIZAMA TRAILER YA MOVIE YA KIMAREKANI ILIYOTENGENEZWA BONGO

.
.
Good news ambayo nataka kukuambia ni kwamba ile movie ya kimarekani iliyotengenezwa Dar es Salaam maarufu kama Going Bongo sasa inapatikana Tanzania.
Going Bongo ni filamu ya kimarekani iliyofanyika Dar es Salaam inayomuhusu (Dr Lewis Burger) wa kimarekani katika nafasi yake imechezwa na Ernest Napolen ambaye alikuja Dar kushoot baadhi ya scene ya filamu hiyo mpya.
Kupitia instagram staa huyo aliwahabarisha followers wake kuwa imetoka na inapatikana kwenye maduka haya Shrijee supermarket-Oysterbay,City center and Slipway,Born to shine -mwenge,Fifi suga designs – Sinza

Hii ndio trailer ya filamu hiyo mpya Going Bongo iliyoshutiwa Dar es Salaam,Carlifonia na Los Angeles itazame hapa

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA