VIDEO: MASHABIKI WAPONDA JINA LA WIMBO MPYA WA D'BANJ "FEELING THE NIGGA"

dbaj
Hii video mpya ya msanii wa Good Music D’ Banj iliyopewa jina ‘Feeling the Nigga’. Ni jina la wimbo lililoshangaza wengi kwani sio kawaida kwa msanii wa Africa kutumia neno Nigga kwenye wimbo wake. Wasani kutoka Africa hutumia neno hilo mara chache kwenye nyimbo zao ila sio kwenye jina la nyimbo kama alivyofanya D’ banj . Je ndio umagaribi umemshika ? bonyeza play kuitazama.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA