PICHA ZA MAANDALIZI MPAKA SHOW YA ZARI ALLWHITE CIROC PARTY ILIYOFANYIKA USIKU WA KUAMKIA LEO JIJINI KAMPALA.

Picha hizi zinaonyesha maandalizi ya show iliyofanyika nchini Uganda Jana usiku, maandalizi yalianzia kwenda kufanya ukaguzi wa ukumbi na sound check katika club ya Guvnor, nimetumia simu ndio maana nimeshindwa kuweka caption kwa kila picha, samahani kwa usumbufu utakao jitokeza.

Kwa mujibu wa crew ya wasafi club hii haijawahi kujaza mpaka watu wakakosa pa kuweka mguu tangu imeanza kufanya kazi ila jana Diamond kaweza kuweka historia katika nchi ya Uganda hasa jiji la Kampala kwa nyomi hiyo ya watu waliofurika na wengine kuishia nje na kushindwa kuingia ndani.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA