WAKURUGENZI WATANO WAFUKUZWA KAZI KUTOKANA NA UZEMBE WA KUTOKUSIMAMIA VIZURI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

WAFUKUZWA KAZI: Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Gahasia leo amewavua madaraka wakurugenzi wa Kasulu, Bunda, Serengeti, Mkuranga, Sengerema, Kaliua kwa uzembe wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA