PICHA:MAPOKEZI YA DIAMOND PLATNUMZ JIJINI DAR ES SALAAM AKITOKEA KWENYE TUZO ZA CHANNEL O ZILIZOFANYIKA AFRIKA KUSINI.

Diamond Platnumz tayari ameshatua jijini Dar es salaam akitokea Afrika Kusini ambapo alienda kuhudhulia utoaji wa tuzo za Channel O Music Awards na kuibuka kidedea kutoka Afrika Mashariki kwa kushinda tuzo tatu.

Hizi ni baadhi ya picha zikionyesha hali ilivyo kwa sasa katika mapokezi yake katika mitaa tofauti  tofauti ya jijini Dar Es salaam.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA