MVUA ZAKWAMISHA MAANDALIZI YA SIKUKUU YA XMAS JIJINI MWANZA


Mvua kubwa ikinyesha katika mitaa ya Jiji la Mwanza leo.
Mvua ikiendelea kunyesha katika mitaa ya Jiji la Mwanza.
MVUA kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali jijini Mwanza zimekwamisha maandalizi ya Sikukuu ya Krismasi kwa wakazi wa jiji hilo.
Mitaa mbalimbali ambayo hufurika watu kwa ajili ya kufanya manunuzi katika misimu hii ya sikukuu zimeonekana kuwa wazi kutokana na mvua hizo zinazoendelea kunyesha.



(PICHA ZOTE NA JOHNSON JAMES / GPL, MWANZA)

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA