WATANZANIA TWENDE KUPIGA KURA KUCHAGUA VIONGOZI WETU WA SERIKALI ZA MITAA.

Ndugu zangu WATANZANIA leo tar 14 Dec ni siku muhimu sana na ya kihistoria kwetu, Tutumie haki zetu za msingi Tuamke na kwenda kupiga kura kuchagua viongozi wetu wa vitongoji(mitaa ), wenyeviti wa kijiji pamoja na wajumbe wa halmashauri ya kijiji na viti maalum, Vituo vya kupigia kura vipo  wazi kuanzia saa 2 asubuhi mpaka jioni.... Tuamke watanzania tukapige KURA  kwa maendeleo yetu, Mungu atuongoze vema Mungu Ibariki TANZANIA.... AMEN!!!!

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA