NUH MZIWANDA AMVISHA PETE YA UCHUMBA SHILOLE

Nuh Mziwanda amvisha pete ya uchumba Shilole usiku wa Dec 20 2014 ambapo ilikuwa ni siku ya birthday ya Shilole lakini tukio ilo pia likawa suprise, hivyo kwa sasa Shilole anatambulika kama mchumba Nuh.

Comments

Popular posts from this blog

HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU

YOUNG D AZUNGUMZIA MAMBO 6 KATIKA KIPINDI CHA MKASI JANA