TIZAMA KILICHOMTOKEA MWIZI HUYU ALIPOTAKA KUIBA PESA KWENYE ATM

ATM-debit-card_0_0_0_0_0_0_0_0_0_0_2Siku za mwizi ni arobaini, huyu zake zilifika hivi.
Jamaa mmoja Australia alifika katika ATM lengo lake likiwa ni kuiba, akategesha kitu ambacho ni kama baruti hivi ili mashine ilipuke aibe pesa.
Mpango wake ulikwama, ulitokea mlipuko mkubwa kwenye ATM ambao ulimtupa mbali, akainuka na kukimbia huku mashine ya ATM ikiwa imeharibika vibaya kutokana na mlipuko huo.
Polisi wa Jiji la DarwinAustralia ilikotokea tukio hilo wanahisi jamaa huyu anahusika na tukio la namna hiyo ambalo lililotokea siku ya Sikukuu ya Christmas.
 itazame hapa video ya tukio zima

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA