PICHA: BUSTA RHYMES AANGUKIA MASHABIKI AKIWA JUKWAANI, ATOKWA DAMU KWENYE PAJI LA USO


BustaRhymes-Cut
Rapper Busta Rhymes ameanguka akiwa jukwani kwenye show ya muziki mjini New York. Busta alikuwa msanii aliyealikwa kwenye show hio iliyofanyika Webster Hall alikuwa ameinama kusalimia mashabiki na ghafla akapoteza balansi na kuangukia watu, alivyoinuka alikuwa na damu kichwani na usoni huku jeraha likionekana kuhitaji kushonwa.
Baada ya dakika checha alirudi jukwanii na kuendelea na show.
 1128-busta-rymes-falls-off-stage-wm-3
 
b

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA