MPIGIE KURA MISS TANZANIA KATIKA SHINDANO LA MISS WORLD, TARATIBU ZA KUFANIKISHA KUPIGA KURA YAKO ZIPO HAPA.

Utaratibu wa kupiga kura kwenye shindano la miss World bado linaendelea, soma maelekezo yote kwenye hiyo picha na taratibu za kufanikisha kupiga kura.

Kila kitu kinawezekana tutumie nafasi hii pia kuleta ushindi nyumbani, kama watanzania tulivyounganisha nguvu katika Big Brother hotshots na hatimaye Idris kushinda na kupata zawadi ya Million 514 za kitanzania.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA