WAZIRI AZUA BALAA KWENYE MTANDAO BAADA YA KUPOST PICHA AKIWA UFUKWENI AMEVAA BIKINI.

Waziri wa Vijana na Utamaduni wa nchini  Jamaica , Lisa
Hannah amezua mjadala kwa kupost picha akiwa
amevaa bikini.(wakidai picha ya uchi) na top yenye picha ya Bob Marley.

Lisa ambaye amewahi kuwa Miss World mwaka
1993, alipost picha hiyo kwenye ukurasa wake wa
facebook na kusababisha mjadala juu ya picha hiyo,
wengine wakisema sio sahihi kwa kiongozi ambaye
ni mbunge na waziri kufanya hivyo, huku wengine
wakisema ni sawa......
WEWE BINAFSI UNASEMAJE KUHUSU HILI???

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA