WANNE WATOLEWA BIG BROTHER AFRICA HOTSHOTS, IDRIS APETA KURA ZAIDI ZINAHITAJIKA KURUDI NA USHINDI TANZANIA
- Get link
- X
- Other Apps
Goitse mshiriki wa kutoka Botswana, Ellah mwakilishi kutoka Uganda, Sheillah mwakilishi wa Botswana na Trezagah kutoka Msumbiji ndio washiriki walioyaaga haya mashindano Novemba 30 2014.
Idadi ya washiriki waliobakia ni nane tu akiwemo Idris kutoka Tanzania ambapo kwa mujibu wa ukurasa wa Big Brother matumaini yaliyopo kwamba ikiwa msimamo wa kura ukiendelea poa kama hali ilivyo huenda neema ikawa kwa mshiriki huyo wa Tanzania akarudi na ushindi.
- Get link
- X
- Other Apps







Comments
Post a Comment