picha: Annular Eclipse, May 2012
Ni
nadra kuona "annular eclipse" ambapo mduara unaotokana na miale ya
mwanga wa jua la machweo huonekana kuuzunguka mwezi ambao kwa wakati huo
ndiyo unakuwa ukichomoza na kupita kati ya jua na sayari ya Dunia.
Tofauti na kupatwa kabisa kwa jua (total solar eclipse), kwenye 'annular eclipse' mwezi huwa na umbo dogo linaloshindwa kulifunika jua lote, hivyo ile sehemu ya jua inayobaki bila kuzibwa, mwanga wake ndiyo unaoonekana kuuzunguka mwezi na kutengeneza mduara wenye mfano na umbo la pete.
Juzi ilitokea "annular eclipse" na baadhi ya vyombo vya habari viliwakumbusha watu kubeba zana zao za kukinga macho na kisha kushuhudia hali hyo ambayo ni nadra sana kutokea.
Jumapili, annular eclipse ilishuhudiwa magharibi mwa Texas, Arizona, Oregon bahari ya Pasifiki hadi Tokyo, Japan.
Picha hizi na nyingine zaidi zipo katika tovuti ya boston.com/bigpicture

A composite of images of the
first annular eclipse seen in the U.S. since 1994 shows several stages,
as the eclipse passes through annularity and the sun changes color as it
approaches sunset, May 20, 2012 in Grand Canyon National Park, Arizona.
Differing from a total solar eclipse, the moon in an annular eclipse
appears too small to cover the sun completely, leaving a ring of fire
effect around the moon. (David McNew/Getty Images)
Comments
Post a Comment