Dkt. Bilal azindua vitabu vya Yussuf R. Makamba: Binadamu na Kazi; Ukweli kwa mujibu wa Biblia, Kurani Tukufu, Suna za Mtume (SAW) na Sheria za Nchi

Picture

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionesha Kitabu cha Binadamu na Kazi baada ya kukizindua kitabu hicho kilichotungwa  na Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, Yussuf Makamba (kulia) wakati ya uzinduzi uliofanyika tarehe 27 Mei 2012 kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mke wa katibu huyo, Mama January Makamba. 
Picture

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA