MISS ILEMELA KUFANYIKA UKUMBI MPYA WA KISASA MONARCH HOTEL & PAVILION MWANZA TAREHE 26/05/212

Baadhi ya warembo watakao shiriki kinyang'anyiro cha miss Ilemela kinachotarajiwa kufanyika tarehe 26/05/2012 kwa mara ya kwanza katika ukumbi mkubwa wa hoteli mpya ya kisasa Mornach Hotel & Pavilion Kirumba jijini Mwanza.

Ni warembo wenye sifa zote stahiki.

Flash ya warembo Kinyang'anyiro cha Miss Ilemela 2012.
Mkao binafsi kwenye flash..

Pamoja na kuwa na kipaji cha shughuli za ulimbwende pia mrembo huyu yu mtangazaji wa kituo cha Tv Barmedas jijini Mwanza.

W0w...!

Kuna TATIZO...!!?

Nice & Cool..

Fresh...


Chain..
Hapa ndipo mahala mrembo wa Miss Ilemela atapatikana ... 

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA