Wakuu wapya wa Wilaya Tanzania 2012


Waziri Mkuu Mizengo Pinda amezungumza na Wanahabari leo na kutangaza majina ya Wakuu wapya wa Wilaya.

Wakuu hao walioteuliwa na Rais Jakaya Kikwete wapo 133 ambapo 70 kati yao ni wapya, 6 wakiwa ni Wanahabari huku 51 waliokuwa Wakuu wa Wilaya katika timu iliyopita wakipoteza nyadhifa zao kutokana na sababu mbalimbali.

Majina ya Waandishi wa habari na watangazaji waandamizi walioteuliwa ni pamoja na Ahmed Kipozi, Jacqueline Liana, Muhingo Rweyemamu, Novatus Makunga, Selemani Mzee na Lucy Mayenga ambaye pia ni Mbunge kwa Viti Maalum.

--
Taarifa za awali, shukurani kwa blogu za Wanahabari: Gordon Kalulunga "Kalulunga" na Basil Msongo "Simulizi"
---

MAJINA YA WAKUU WA WILAYA WAPYA 70 NA VITUO VYAO VYA KAZI



NA.
JINA
KITUO CHA KAZI
1. Novatus Makunga Hai
2. Mboni M. Mgaza Mkinga
3. Hanifa M. Selungu Sikonge
4. Christine S. Mndeme Hanang
5. Shaibu I. Ndemanga Mwanga
6. Chrispin T. Meela Rungwe
7. Dr. Nasoro Ali Hamidi Lindi
8. Farida S. Mgomi Masasi
9. Jeremba D. Munasa Arumeru
10. Majid Hemed Mwanga Lushoto
11 Mrisho Gambo Korogwe
12. Elias C. J. Tarimo Kilosa
13. Alfred E. Msovella Kiteto
14. Dkt. Leticia M. Warioba Iringa
15. Dkt. Michael Yunia Kadeghe Mbozi
16. Mrs. Karen Yunus Sengerema
17. Hassan E. Masala Kilombero
18. Bituni A. Msangi Nzega
19. Ephraem Mfingi Mmbaga Liwale
20. Antony J. Mtaka Mvomero
21. Herman Clement Kapufi Same
22. Magareth Esther Malenga Kyela
23. Chande Bakari Nalicho Tunduru
24. Fatuma H. Toufiq Manyoni
25. Seleman Liwowa Kilindi
26. Josephine R. Matiro Makete
27. Gerald J. Guninita Kilolo
28. Senyi S. Ngaga Mbinga
29. Mary Tesha Ukerewe
30. Rodrick Mpogolo Chato
31. Christopher Magala Newala
32. Paza T. Mwamlima Mpanda
33. Richard Mbeho Biharamulo
34. Jacqueline Liana Magu
35. Joshua Mirumbe Bunda
36. Constantine J. Kanyasu Ngara
37. Yahya E. Nawanda Iramba
38. Ulega H. Abadallah Kilwa
39. Paul Mzindakaya Busega (mpya)
40. Festo Kiswaga Nanyumbu
41. Wilman Kapenjama Ndile Mtwara
42. Joseph Joseph Mkirikiti Songea
43. Ponsiano Nyami Tandahimba
44. Elibariki Immanuel Kingu Kisarawe
45. Suleiman O. Kumchaya Tabora
46. Dkt. Charles O. F. Mlingwa Siha
47. Manju Msambya Ikungi (mpya)
48. Omar S. Kwaangw’ Kondoa
49. Venance M. Mwamoto Kibondo
50. Benson Mpesya Kahama
51. Daudi Felix Ntibenda Karatu
52. Ramadhani A. Maneno Kigoma
53. Sauda S. Mtondoo Rufiji
54. Gulamhusein Kifu Mbarali
55. Esterina Kilasi Wanging’ombe (mpya)
56. Subira Mgalu Muheza
57. Martha Umbula Kongwa
58. Rosemary Kirigini Meatu
59. Agness Hokororo Ruangwa
60. Regina Chonjo Nachingwea
61. Ahmed R. Kipozi Bagamoyo
62. Wilson Elisha Nkhambaku Kishapu
63. Amani K. Mwenegoha Bukombe
64. Hafsa M. Mtasiwa Pangani
65. Rosemary Staki Senyamule Ileje
66. Selemani Mzee Selemani Kwimba
67. Lt. Col. Ngemela E. Lubinga Mlele (mpya)
68. Iddi Kimanta Nkasi
69. Muhingo Rweyemamu Handeni
70. Lucy Mayenga Uyui

MAJINA 63 WAKUU WA WILAYA WA ZAMANI NA VILIVYOUKUWA VITUO VYAO VYA KAZI


NA.
JINA
KITUO CHA KAZI
1. James K. O. Millya Longido
2. Mathew S. Sedoyeka Sumbawanga
3. Fatuma L. Kimario Igunga
4. Capt. (Mst.) James C. Yamungu Serengeti
5. Lt. (Mst.) Abdallah A. Kihato Maswa
6. Sarah Dumba Njombe
7. Jowika W. Kasunga Monduli
8. Elizabeth C. Mkwasa Bahi
9. Col. Issa E. Njiku Misenyi
10. John B. Henjewele Tarime
11. Elias W. Lali Ngorongoro
12. Raymond H. Mushi Ilala
13. Francis Miti Ulanga
14. Evarista N. Kalalu Mufindi
15. Mariam S. Lugaila Misungwi
16. Anna J. Magowa Urambo
17. Anatory K. Choya Mbulu
18. Fatma Salum Ally Chamwino
19. Deodatus L. Kinawiro Chunya
20. Ibrahim W. Marwa Nyang’hwale (mpya)
21. Dkt. Norman A. Sigalla Mbeya
22. Moshi M. Chang’a Mkalama (mpya)
23. Jordan M. Rugimbana Kinondoni
24. Georgina E. Bundala Itilima (mpya)
25. Halima M. Kihemba Kibaha
26. Manzie O. Mangochie Geita
27. Abdula S. Lutavi Namtumbo
28. Zipporah L. Pangani Bukoba
29. Dkt. Ibrahim H. Msengi Moshi
30. Col. Cosmas Kayombo Kakonko (mpya)
31. Lembris M. Kipuyo Muleba
32. Elinasi A. Pallangyo Rombo
33. Queen M. Mlozi Singida
34. Juma S. Madaha Ludewa
35. Angelina Mabula Butiama (mpya)
36. Hadija H. Nyembo Uvinza (mpya)
37. Ernest N. Kahindi Nyasa (mpya)
38. Peter T. Kiroya Simanjiro
39. John V. K. Mongella Arusha
40. Baraka M. Konisaga Nyamagana
41. Husna Mwilima Mbogwe (mpya)
42. Sophia E. Mjema Temeke
43. Francis Isaac Chemba (mpya)
44. Abihudi M. Saideya Momba (mpya)
45. Khalid J. Mandia Babati
46. Anna Rose Nyamubi Shinyanga
47. Dani B. Makanga Kasulu
48. Amina J. Masenza Ilemela
49. Mercy E. Silla Mkuranga
50. Christopher R. Kangoye Mpwapwa
51. Lt. Edward O. Lenga Kalambo (mpya)
52. Halima O. Dendego Tanga
53. Lephy B. Gembe Dodoma
54. Saidi A. Amanzi Morogoro
55. Jackson W. Msome Musoma
56. Elias C. B. Goroi Rorya
57. Lt. Col. Benedict Kitenga Kyerwa (mpya)
58. Erasto Sima Bariadi
59. Nurdin H. Babu Mafia
60. Khanifa M. Karamagi Gairo (mpya)
61. Gishuli M. Charles Buhigwe (mpya)
62. Saveli M. Maketta Kaliua (mpya)
63. Darry Rwegasira Karagwe

Imetolewa na

OFISI YA WAZIRI MKUU,

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA