NIPIGIE KURA MDAU......

SHINDANO LA EXCEL WITH GRAND MALT NI SHINDANO LILILOANDALIWA NA KAMPUNI YA BIA TANZANIA(TBL) KUPITIA KINYWAJI CHAKE CHA GRAND MALT.

SHINDANO HILI LINASHIRIKISHA WANAFUNZI WA VYUO VYA ELIMU YA JUU TANZANIA LAKINI KWA SASA INASHIRIKISHA VYUO VYA UDSM, IFM,MZUMBE,UDOM,CBE DAR,CBE DODOMA, SAUT, NK. NA KATIKA SHINDANO HILI KUNA CATEGORY 4 AMBAZO NI SPORTS, ENVIRONMENT AND SOCIAL RESPONSIBILITY, CULTURE AND ENTERTAINMENT AND INNOVATION.

NIKIWA MWANAFUNZI KUTOKA CHUO CHA SAUT NIMEAMUA KUSHIRIKI KATIKA CATEGORY YA INNOVATION KWASABABU NI MMOJA KATI YA WANAFUNZI AMBAO NIMEWEZA KUTENGENEZA NA KUMILIKI BLOGU NIKIWA TANGU MWAKA WA KWANZA NA KU INSPIRE BAADHI YA WANAFUNZI KUFUNGUA BLOGU ZAO LAKINI PIA KUWEZA KUCHAGULIWA NA UONGOZI WA CHUO KWENDA KUWAKILISHA WANAFUNZI WENZANGU KATIKA MAONYESHO YA VYUO VIKUU YALIYOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 18/4/2012,PAMOJA NA KUWA NA BLOGU PIA NIMEKUWA MWANAFUNZI AMBAYE NIMEWEZA KUONYESHA UWEZO MKUBWA KATIKA MASWALA YA COMPUTER  REPAIR, WEB AND BLOG DESIGN PAMOJA NA COMPUTER APPLICATION,NA KUWEZA KUANZISHA DARASA LA KUWAFUNDISHA WANAFUNZI WENZANGU KUPITIA ASSOCIATION YETU CHUONI SSPRA JINSI YA KUTUMIA MTANDAO WA INTERNET,BLOG DESIGN ,NK MPAKA KUNIPELEKEA KUCHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA KAMATI YA MEDIA RELATIONS AND PUBLICATION COMMITTEE NDANI YA SSPRA, KWA SABABU HIZO BASI NIMEAMUA KUSHIRIKI KATIKA SHINDANO HILI.

KATIKA SHINDANO HILI LILILOANZA JUMANNE  NA LITAMALIZIKA IJUMAA YA TAREHE 18 AMBAPO WATAPATIKANA WASHINDI KUMI BORA HALAFU KATIKA WASHINDI KUMI BORA HAO LITAANZA ZOEZI LA KUPIGIWA KURA TENA ILI APATIKANE MSHINDI WA KWANZA HADI WA TATU.
 

JINSI YA KUPIGA  KURA FUNGUA WEBSITE YA excelwithgrandmalt.com, utajaza detail zako kwanza kama jina lako,namba yako ya simu usianze na 0...anza na 7.... au 6....hapo utakuwa umenisoma mdau, halafu kwenye field ya college utachagua ST. Augustine University Of Tanzania baada ya kuclik hiyo kuna field zitafunguka utajaza jina langu Nyanja Poti na Mwaka wa Masomo ninao soma ni mwaka wa 2  THEN UTA CLICK SUBMIT ITAKUJA BUTTON INAKUULIZA "ARE U SURE" UTACLICK OK NA ITAKUA IMEENDA KURA YAKO. 

TUSHIRIKIANE KWA PAMOJA WADAU.KURA YAKO NI YA MUHIMU KWANGU

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA