HIVI NDIVYO GRADUATION YA SSPRA ILIVYOFANA

Wiki iliyopita siku ya Jumamosi ilifanyika sherehe ya kuwaaga mwaka wa 3 ambao walikuwa ni wanachama wa SSPRA ambapo sherehe hii ya mahafari ilifanyika katika ufukwe wa ziwa Victoria- -Royal Sunset Beach.

Mgeni rasmi katika mahafari hayo alikuwa ni Afsa uhusiano (Public Relations Manager) wa halmashauri ya jiji la mwanza  BW. Joseph Alex Mlinzi. Wanachama 45 walitunukiwa vyeti vyao na wengine 21 kutunukiwa vyeti vya shukrani kwa kuweza kuiongoza vizuri Association mpaka hapa ilipofikia.

Mgeni rasmi .Joseph Mlinzi aliweza kuwapa nasaa wahitimu wote na kuweza kuipongeza  Association kwa kuweza kupiga hatua kubwa sana ukilinganisha na umri wa Association  tangu imeanzishwa...Mgeni rasmi pia aliweza kutoa kiwango cha shilingi Million 1 na laki 2(1,200,000) kwa ajili ya kuweza kuimarisha mfuko wa chama.
Zifuatazo ni baadhi ya picha ambazo zilichukuliwa wakati wa sherehe hiyo.
Mgeni Rasmi Joseph Mlinzi ambaye ni Meneja Uhusiano wa jiji la Mwanza akiingia ukumbini.
Mwenyekiti wa SSPRA akisoma risala

Keki ikibarikiwa na mgeni rasmi.
Viongozi wa SSPRA wakiwa meza kuu

ILIPENDEZAJE
KUTOKA KUSHOTO NI MC, JACQUELINE PATRICK,  CHEBI,NGONYANI NA ATHANASI

Wageni waalikwa wakiwa meza kuu pamoja na mgeni rasmi.
Makamu Mwenyekiti Bw.Chebi akitoa maelezo mbalimbali kwa wageni

Vijana wa Kigomaaa wakitoa show yao ambayo ilivutia wageni na waagwa

Mwl.Denis Mpagaze pia alikuwepo
Wanachama wa mwaka wa Tatu wakitoa burudani kwa mgeni Rasmi

Mwl.Albert Tibaijuka akimpongeza mwenyekiti wa kwanza wa SSPRA Bw.Yusuf Manning




Wanachama wa mwaka wa pili wakitoa show yao

Njumai and Glory
Creator Francis akipata Msosi
Nyanja kutoka kushoto,Mwambeja,Mudy
                                
Tulitokelezeaje?single button kama kawa.
                                
































Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA