HAPPY MOTHER'S DAY

picha hii ilichukuliwa mwaka 1993,mimi nikiwa na mama pamoja na dada yangu Jacqueline.

I wish mama ungekuwepo,ukiona mwanao nafanya nini, naelekea wapi,umeondoka mapema sana bado nikikuhitaji katika maisha yangu,busara zako na ushauri wako uliokuwa ukinipa wakati ukiwa hai,daima nitaufuata,nashukuru kwa upendo wako, kuhakikisha kuwa mwanao nasoma but ndo hivyo umetangulia mbele ya haki nami naamini tutakutana.

Siku hii ya leo ni maalum sana kwa hakina mama wote duniani,hivyo nami ni kumbukumbu kwangu kukukumbuka mama hata kama haupo katika ulimwengu huu

"HAPPY MOTHER'S DAY"

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA