MISS NYAMAGANA 2012/2013 YAKWIVAA

Baadhi ya washiriki waliojitokeza kushiriki hadi sasa...
Washiriki wengine wakiendelea kujiandikisha darasa maalum linaendelea....
Warembo wakifuatilia maelezo kwa umakini.
Pozi za awali kwa flash...
Flash two.
Flash three.
Shindano la Miss Nyamagana 2012/2013, linatarajiwa kufanyika usiku wa Jumamosi ya terehe 02 June 2012 katika ukumbi wa Gold Crest Jijini Mwanza.
Takriban warembo 25 wamejitokeza katika shindano hilo, huku idadi ya warembo kujaza form za ushiriki ikiongezeka kila kukicha. Mazoezi kwa warembo yataanza rasmi tarehe 14 June 2012 katika ukumbi wa Gold Crest Mwanza.
Kwa mawasiliano ya udhamini na ushiriki kwa warembo piga namba 0717 557 220, 0764 088 485.
 
picha na story ni kwa hisani ya  gsengo.blogspot.com

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA