MCHEZAJI WA SIMBA PATRICK MAFISANGO AFARIKI DUNIA

Habari zilizolipotiwa na kituo cha Radio free mapema leo zimezibitisha kifo cha Patrick Mafisango ambaye alikuwa mchezaji wa Timu ya Simba na Timu ya Taifa ya Rwanda kuwa amepata ajali katika eneo la Tabata jijini Dar Es Salaam majira ya saa 10 Alfajili wakati akirudi Nyumbani kwake.

Habari zaidi zitakuijia so endelea kutembelea kwenye blog yako kwa taarifa zaidi.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA