Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,Mh. January Makamba atembelea Airtel Tanzania



Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba (kushoto) akipokewa na Mkurugenzi Mtendai wa Airtel Tanzania,Sam Elangallor, alipofanya ziara kukagua shughuli mbalimbali za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasilino wa Airtel, Beatrice Singano Mallya.
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba (kushoto) akipokewa na Ofisa Mkuu wa Biashara wa Airtel Tanzania, Chiruwi Walingo alipokwenda kufanya ziara ili kukagua shughuli mbalimbali za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam leo.Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel,Beatrice Singano Mallya.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania, Beatrice Singano Mallya akiongozana na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba (kushoto) katika ofisi za makamo makuu ya Airtel wakati wa ziara yake kukagua shughuli mbalimbali za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sam Elangallor (katikati) akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,January Makamba (kulia) na ujumbe wake wakati wa ziara ya naibu waziri huyo kukagua shughuli mbalimbali za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA