Ajari Mbaya Yatokea Iringa

Askari wa usalama barabarani mjini Iringa wakiwa wamebeba moja kati ya maiti za ajali ya Taxi na Fuso iliyotokea eneo la kituo cha Mafuta Eso kwenye barabara kuu ya Iringa -Mbeya asubuhi hii
Wananchi wakitazama Fuso ambalo liligongana na Taxi hiyo
Miili ya wafanyakazi wa barabara Iringa ambao walikufa katika ajali hiyo
Wananchi na polisi wakisaidiana kuinasua miili ya watu watatu walio kufa katika ajali
Hivi ndivyo Fuso hilo lilivyokuwa baada ya ajali


Mwili wa dereva Taxi ukiwa bado kutolewaAjali mbaya imetokea mjini Iringa asubuhi hii na kusababisha vifo vya watu watatu papo hapo huku abiria waliokuwemo katika fuso wakinusurika katika ajali hiyo .
 

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA