FAHAMU KILICHOMTOKEA MTANGAZAJI WA CLOUDS FM DIVA THE BOSS BAADA YA MATOKEO YA BRAZIL KUPIGWA 7
Baada ya matokeo ya jana ya fainali za kombe la dunia katika hatua ya nusu fainali, Timu ya Brazil kupigwa goli 7 na timu ya taifa ya Ujerumani na kuwaacha mashabiki wake kote duniani katika majonzi na sintofahamu, hali hii pia imemkuta mtangazaji divathebawse wa clouds fm anayeendesha kipindi cha "ala za roho" ameandika kupitia account yake ya instagram kwamba
"Jamani Naumwa. na naona simu zenu zote na whatsapp na twitter na facebook. Its Not Joke . Sitaki zungumzia Masuala ya Mpira. hamjui ni kiasi gani nimeumia. imeniuma sana. Amma Brazil Fan since day one. i love Them and am so Proud Of Them All and My heart is In Pain. Nimeumia sana hadi Presha. sidharau mnavyoandika ila God Knows Nimeumia sana sana. Bora Kuachwa na Mpenzi Kuliko Jana.. am so so sad. very sad .. Tears #TeamBrazil"
Comments
Post a Comment