MPAKA HALF TIME, UJERUMANI ANAONGOZA TANO HUKU BRAZIL HAJAPATA GOLI

Katika hali ya kushangaza, timu ya Brazil mpaka hivi sasa wakati wa mapumziko tayari imeshakubali nyavu zake kutikiswa na Ujerumani mara 5.

BRAZIL 0-5 UJERUMANI
Muller, Klose, Kroos (2) na Kherida

Photo: HALF TIME
BRAZIL 0-5 UJERUMANI
Muller, Klose, Kroos (2) na Kherida

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA