PICHA KALI ZENYE HASHTAG YA #TBT KUTOKA INSTAGRAM

Mtandao wa kijamii wa Instagram ambao ni mahususi kwa watumiaji wake kuweka picha zao za matukio tofauti tofauti wanayoyafanya katika maisha ya kila siku.

Instagram wameweka utaratibu wa kuweka picha za zamani au kipindi kifupi kilichopita katika siku ya Alhamis kwa kutumia hashtag ya #TBT au #ThrowBackThursay kama kuonyesha kumbukumbu za watu.

Baada ya kuona utaratibu huu unavyokwenda, kila Alhamis katika blog hii basi tutakuwa tukikuchukulia picha kali tano za watu maarufu kutoka katika mtandao huo.
KUTOKA KUSHOTO NI KELVIN, AKIFUATIA DR.CHENI,BENNY KINYAIYA, ILIKUWA HARUSI YA MONALISA
PROFESA JAY (KULIA)AKIWA NA MDOGO WAKE SIMPLE X, NA MSHKAJI WAO AMBAYE JINA SIJALIPATA ENZI HIZO

UNAMTAMBUA NANI HAPO?

P SQUARE
 MZAZI WILL M TUVA MTANGAZAJI WA CITIZEN TV AKIWA NA RAFIKI ZAKE
Ludacris huyu, kwa mbali unaona mapengo yake.
 Kutoka katika album ya picha nyumbani kwangu #tbt 2006 Mpiga picha alikuwa mume wa @sarahraqey lol. haya ndo maelezo ya hii picha aliyoyatoa.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA