RAY C AFUNGUKA NA KUMJIBU TID MNYAMA BAADA YA KUMTUKUNA INSTAGRAM.

Wiki iliyopita kulitokea mgogoro wa kupishana kauli baana ya mwanamuziki wawili Ray C Na TID, jambo lililopelekea mtandao wa instagram kuwa uwanja wa mapambano kati ya fans wa TID na Ray C baada ya TID kuandika maandishi yasiyo faa kuandikwa  tena mahali hapa.

Ugomvi huo unahusisha zaidi swala la madawa ya kulevya ambapo kumekuwa na tetesi kuwa TID amekuwa akitumia hivyo Ray C alikuwa anampa kama ushauri hapo ndipo zogo lilipotokea.

LEO kupitia mtandao wa kijamii wa instagram Ray C kaamua kufunguka kuhusu kauli hiyo ya mnyama TID.

" rayc1982 Hi everyone!!!Asanteni kwa maombi yenu!mama anaendelea vizuri Mungu ni Mwema............(na kuhusu @tidmnyama -Nimeona post yako,Asante kwa matusi yako ila sikuwa na nia mbaya tofauti na ulivyofikiria anyway Nakuombea kwa Mungu akuepushe na majanga ya dunia!ubarikiwe sana babaa."

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA