KLOSE AVUNJA REKODI YA RONALDO DE LIMA

article-0-1F7CB40900000578-142_634x489 

Mvunja rekodi: Miroslav Klose ni mfungaji bora katika historia ya kombe la dunia.
Miroslav Klose amevunja rekodi ya Ronaldo na kuwa mfungaji mwenye mabao mengi zaidi katika historia ya fainali za kombe la dunia.
Mshambuliaji huyo wa Ujerumani alifunga bao la pili katika ushindi wa mabao 7-1 dhidi ya Brazil kwenye mchezo wa nusu fainali wa kombe la dunia na kufikisha mabao 16.
 
Lilikuwa bao lake la pili katika mashindano baada ya kufunga bao akitokea benchi katika mchezo dhidi ya Ghana,  hatua ya makundi na kumfanya alingane mabao na gwiji wa Brazil.
 
article-2685166-1F7CBCAC00000578-599_634x286 

Historia: Shuti lililomfanya ashikilie rekodi ya dunia.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA