Matokeo: Sekondari 10, Wanafunzi 5 bora Sayansi, Biashara, Lugha
Sekondari zilizofanya vizuri zaidi katika kundi la shule zenye watahiniwa 30 au zaidi:
1. Marian (wasichana) - Pwani
2. Feza (wavulana) - Dar es Salaam
3. Kisimiri - Arusha
4. Kibaha - Pwani
5. Ilboru - Arusha
6. Mzumbe - Morogoro
7. Msalato - Dodoma
8. Tabora (wavulana) - Tabora
9. St. Mary's Mazinde Juu - Tanga
10. Consolata Seminari - Iringa
Sekondari iliyoongoza kwa kufaulu katika kundi la shule zenye watahiniwa chini ya 30:
1. Uru Seminari
2. Iwawa
3. Maua Seminari
4. Harrison Uwata
5. Beroya
6. Palloti
7. Lutengano
8. Makita
9. Mwanga
10. Visitation (wasichana)
Wanafunzi 5 bora katika mchepuo wa Sayansi
1. Faith Assenga - Marian
2. Zawadi Mdoe - Feza
3. Belnadino Mgimba - Minaki
4. Jamal Juma - Feza
5.Imaculate Mosha - Marian
Wanafunzi 5 bora katika mchepuo wa Biashara
1. Alex Isdor - Kibaha
2. Ephraim Tumwidike - St Joseph's Cathedral
3. Vaileth Mussa - Weruweru
4. Seleman Manyiwa - Kibaha
5. Hussein Issa - Azania
Wanafunzi 5 bora katika mchepuo wa Lugha na Sayansi ya Jamii
1. Faridi Abdalla - Mpwapwa
2. Jema Rwihura - Weruweru
3. Mariam Hincha - Weruweru
4. Neema Mbandwa - Igawilo
5. Hemed Hussein - Tosamaganga
Sekondari zilizofanya vibaya zaidi katika kundi la shule zenye watahiniwa 30 au zaidi:
1. Pemba Islamic
2. Zanzibar Commecial
3. Kongwa
4. Uweleni
5. Mazizini
6. Lumumba
7. Ben Bela
8. Mlima Mbeya
9. Laurate International
10. Haile Selassie
Sekondari zilizofanya vibaya zaidi katika kundi la shule zenye watahiniwa chini ya 30:
1. Mbarali Preparatory
2. Philter Federal International
3. High-View International
4. Kifai Modern
5. Sha
6. Dar es Salaam Prim
7. Kandoto Sayansi
8. Popatlal
9. Al-Falaah Muslim
10. Kiuma
Comments
Post a Comment