TUMSAIDIE NDUGU YETU SAJUKI

Kiukweli inaumiza sana baada ya kuona hii Post kutoka kwa Djchoka kuona ndugu yetu Sajuki ambaye anaumwa hivi sasa akiwa katika hali hiyo hapo juu,kama Mtanzania na watanzania wengine ni jukumu letu kuungana kwa pamoja kuweza kujitolea chochote tulichonacho kuweza kumsaidia zinahitajika zaidi ya Tsh million 25 za matibabu ambapo kila wiki anatumia dawa zinazouzwa dolla 1000, pia anatakiwa kusafirishwa kwenda India kwa matibabu zaidi ndani ya mwezi huu.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA