MANENO YA MWALIMU J.K NDANI YA CCM KIRUMBA


 





Kauli ya hayati Baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyoitoa enzi za uhai wake wakati akiachia madaraka alinene hivi... na nukuu yake ikaandikwa katika moja ya eneo la jukwaa uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kama kumbukumbu, Je kauli hii ina maana gani kwa watu wa kizazi hiki? Nilikuwa nikijifikiria sana pindi nilipoyaana maneno haya wakati nilipokuwa uwanjani hapo siku ya Jumamosi iliyopita maneno yenyewe yanasema hivi 

"MIMI NANG'ATUKA LAKINI NAENDELEA KUAMINI KUWA BILA CCM MADHUBUTI NCHI YETU ITAYUMBA"

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA