Hawa
ni wafanyakazi wa taasisi moja, wakikimbia na bango lao lenye ujumbe
mwanana kabisa,kuwahi Mnazi Mmoja kwenye maadhimisho ya sikukuu ya
Wafanyakazi a.k.a Mei Mosi
Ni mei mosi leo Je wafanyakazi wana hali gani? Mishahara imeacha kuchelewa? Unyanyasaji kazini umeisha? Kama haya yote bado nini hasa maana ya Mei mosi na kwa ajili ya akina nani iwepo? Mwesigwa,Mwanza.

ReplyDelete